Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tangu jmos namuambia kuwa leo asubuhi naenda kuchukua nguo, tukakubaliana fresh, kheeh leo asubuh ananipigia cm eti yuko mtwara msibani, nkamuambia km ipo tayar bas hata mwanafunz wake atanipa, kheeeeh eti hajamaliza kushona, nkaona ni utan, kwenda pale nakuta pamefungwa, nimechoka hapa hoiiii.
Weee nilikuwa nasubiri leo kwa hamu picha za ule mshono
 
Back
Top Bottom