Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,486
Aunt karibuSikukuu kesho shangaziiii, mmmmh acha uchoyo kesho nakuja kula pilau.![]()
Aunt karibuSikukuu kesho shangaziiii, mmmmh acha uchoyo kesho nakuja kula pilau.![]()
Ngoja niangalie hapa bossIle nzuri ambayo hujatupia hapa
Fanya namna boss wangu please
Nakuja kesho kula pilauu.Aunt karibu
Miezi miwili yote hiyo khaaKaniambia eti anarud keshokutwa, alhamic ndo nkachukue, sasa tukio linapita leo, km vipi ntaweka had Itapotokea tukio lingine.
Ila nikichukua ntavaa nipige picha, nitetemeshe uzi.![]()
YaaniAchaaa!!Pozi lote limeniishia hapa!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tumajukumu shoss!! usiwaze shos angu!!utingwe na nn? Huna lolote,
Nasubiri.
Yaan wee acha tyuuh, kanitibua mnooo.Miezi miwili yote hiyo khaa
Mafundi hapo ndio wanapo koseaga
Majukumu gan bhana shouuzzzz?tumajukumu shoss!! usiwaze shos angu!!






Nipo poa vipi wewe Mr
Nasubiri hapa sibanduki bestNgoja niangalie hapa boss
Sina hata picha
Mfate na pangaYaan wee acha tyuuh, kanitibua mnooo.
Hongera kwa kuhonga best naona jana kwa mara ya kwanza umevunja ule mwiko😅Nipo poa vipi wewe Mr
🤣😘🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Relaxx Soon nakusaprize shoss angu!!Majukumu gan bhana shouuzzzz?
Acha uongo.
Niko salama tu best za wikiendNipo poa vipi wewe Mr
Coca hujambo..Kitambooooo sanaaaa, nasubiri banda lije kwenye tokeo.
![]()
Hahahaha wewe jamaaHongera kwa kuhonga best naona jana kwa mara ya kwanza umevunja ule mwiko![]()


Nzuri tu hapa
Unapenda kuzurura bestNzuri tu hapa
Njoo tuzurure huku
Mishe tu best