Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220708_142458.jpg
 
Acha utani ujue fundi ameleta balaa gani wagi walai niko standby hapa waiting kutetema mie uwiii!
Tangu jmos namuambia kuwa leo asubuhi naenda kuchukua nguo, tukakubaliana fresh, kheeh leo asubuh ananipigia cm eti yuko mtwara msibani, nkamuambia km ipo tayar bas hata mwanafunz wake atanipa, kheeeeh eti hajamaliza kushona, nkaona ni utan, kwenda pale nakuta pamefungwa, nimechoka hapa hoiiii.
 
Doh siku zote uzompa jamani almost 2 months na ameleta mambo ya kiwaki ivoo!!!🤔!! Shenz zake kabisa!
 
Antonnia shougaaa angu, hilo tisheti fanya unipe, wee liko vyedi sanaa, nikivalia suruali ya kitambaa, lecture hall inazizima, napenda tisheti za kola. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nakuletea shoss wewe teinaaaaaaaaaa!! Sema kingine 😘😘💃!!
 
Back
Top Bottom