Kawaida sana kwenye ulimwengu huu wa kidigitali 😂Umejuaje
Kuhusu pull triger
Yaani hicho kizungu ulichoandika![]()
Tumuone na mpishi tafadhali
🤣🤣🤣Mawili
Unatoka na mjeda ama
Wewe ni polisi kitengo cha dawati la jinsia
Heshima ni kitu cha bureSome comments deserve such kind of reactions. Kwa mfano Chakula hicho cha mtoto ulicho nacho kwa nini nisishangae ? 😃😃😃
Em nikakwambie chemba😃Yupi shost? Code la unyama kidogo…
He he he shougaa Mimi mbona nimepitwaaaHahah!!
. Nifanyie wepesi basi irudiweee
Kengine tunaotumia app ni majanga, notification hazionekani. Kama Mimi nna mwezi ss sipati notification. Hata mtu akinimention sioni.Hahah Tatizo na cocastic mnatoka toka sanaa haya usitoke hapo nikubless fastautamwambia niliweka chaji is about kukata!
Naikuletea shogangu usiwaze kabisa!!Woyooo nitakuja uniazime hiyo suruali mamaa![]()

Kabisa kabisa, nimejaa teleNaikuletea shogangu usiwaze kabisa!!![]()
Nipo saiv.Hahahaaa!! Bado upo??
Nipo saiv.Weehh hapana mr Vocha namsubiri tu coca atanidai tena yule!!!!