myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Pull the trigger button 😂😂😂
Jirani unatubania jiraniKuna baridi nimevaa sweta. Niko kama kondoo. Ngoja nitoke nje jirani nichangamke...
Usijiue mkuu
mambo si mazuri, stress nyingii, ngoja tumsikilize mgangaNini hiyooo
YaaanMy Sons Legacy mbona unapenda masikitiko
😜😜😜 tupendane DepalPull the trigger button 😂😂😂
Jirani nina muda napaka paka vaseline nikae sawa..sipendi kuwatisha watu. Muda si mrefu ntaweka.Jirani unatubania jirani
Hapana 🤣🤣😜😜😜 tupendane Depal
Hata picha ya sweta jirani, nafsi yangu ifurahiJirani nina muda napaka paka vaseline nikae sawa..sipendi kuwatisha watu. Muda si mrefu ntaweka.
He!! Hiyo unayosikiliza sikioni hiyo..mambo si mazuri, stress nyingii, ngoja tumsikilize mganga
Eeh sijui nini shidaYaaan
Na kushangaaa
We uking’ang’a umejifunzia wapi 😂😂Hata picha ya sweta jirani, nafsi yangu ifurahi
Si umenifundisha wewe😂😂We uking’ang’a umejifunzia wapi 😂😂
Umenyimwa nyimika..
Sijamnyima jirani, kwa hii camera picha itatoka sweta chafu😁😁We uking’ang’a umejifunzia wapi 😂😂
Umenyimwa nyimika..
🤣🤣 kama ni camera zinazotoa picha za kuumiza macho basi jirani usiselfike..Sijamnyima jirani, kwa hii camera picha itatoka sweta chafu😁😁
Hilo ni kweli kabisa,hivi vidogo vyetu vimechoka sana.
😅😅 me sio king’ang’a aisee,, tafuta aliyekuambukiza..