Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1656852608673.jpg
 
Mungu ni mwema sana binti yangu hasa tukimtegemea.

Alishaahidi kwamba hatatuacha kamwe.

Na huo ni mwanzo tu.

Endelea kubarikiwa zaidi na zaidi mpaka ushangae.

You made yo daddy super proud!
View attachment 2279741
Kumtegemea Mungu kuna faida sana..

Amen daddy😊😊

Na iwe kama usemavyo..lazima shetan aaibishwe..

U daddy mwema sana na ninakuombea SYB.

Forever in my heart 🥰🥰🥰
 
Back
Top Bottom