Noumaaaah huyo.
Haya nipo sasa, nilikua nafanya usafi wa mwili.Naikuletea shogangu usiwaze kabisa!![emoji8]
Hapo sawa
Ya kwangu huitaki Joan SWoyooo nitakuja uniazime hiyo suruali mamaa[emoji3590][emoji3059]
Hata pm zangu huzioni au siyo [emoji26][emoji26]Kengine tunaotumia app ni majanga, notification hazionekani. Kama Mimi nna mwezi ss sipati notification. Hata mtu akinimention sioni.
🙂🙂🙂🙂.. Nitakuwa hayo maeneo fumba na kufumbua
Jioni kila mtu na kimiminika[emoji12]UZURI WA JUMAPILI KILA MTU NI MTAKATIFU ASUBUHI NGOJA IFIKE JIONI SASA!![emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nikusubirie mpaka saa ngapi.....?🙂🙂🙂🙂.. Nitakuwa hayo maeneo fumba na kufumbua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo maana mm nimeacha pombe kbsa kidogo nizae na mtoto wa mamkubwaJioni kila mtu na kimiminika[emoji12]
Hahahahhaah pombe sio chai.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo maana mm nimeacha pombe kbsa kidogo nizae na mtoto wa mamkubwa
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app