Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Wacha bhanaNamiss maisha ya skuli na vimbwanga vyake.
Kikubwa hasa ni gani umemiss[emoji848]
Wacha bhanaNamiss maisha ya skuli na vimbwanga vyake.
Kha kumbeUtasikia "mdada ukivaa ID ya UDSM jua wee uko class ya peke yako hapa nchini" usikiangushe chuo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chimbo la wachache[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo unajipozea huko, hapo wadada wa huko wanatamani wawepo UD.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya kweli haya???Wanajua sema wanajitoa ufahamu.. na ulimwenguu huu wa uber ukakae unashoboka kisa aliyekuja ku approach kaja na LC LX?
Ni ukichaaa [emoji1787][emoji1787]
Ukichaa kidogo sasa, nawaangaliaga tu.Wanajua sema wanajitoa ufahamu.. na ulimwenguu huu wa uber ukakae unashoboka kisa aliyekuja ku approach kaja na LC LX?
Ni ukichaaa [emoji1787][emoji1787]
Ukija kuzeeka utajua....Kwann wazee wasipambane na wazee wenzao?? Khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimind mmoja huyo, niko future vision kariakoo kaja kavaa ID,, kuwa anawaogopa auxiliary au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka kitu hivi au bas. Jomoneee UD ni balaa.
Haswaaah UD ni chuo kizuri mnooo. Nilikua naomba Jah niletwe hapa tyuuh, na hata kwenye maombi niloomba hapa tyuuh.Kha kumbe
Nahisi si wote wako hivyo , ni hao wachache wapo na tabia za hivyo .
Chuo kizuri sana hicho
😁😁😁 kuacha materials kabisa ni ngumu maana hizo materials ziko za aina nyingi. ila hizo mambo za magari sijui mshikaji ako na pesa.. ni za watoto kina CocaUna akili, angalia upendo materialistic muachane nazo…
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu umechachuka leo, umekula nn?Ukija kuzeeka utajua....
Ni yale yale...
Sigara zinasababisha kansa...
Badala ya kulaumu wavutaji lawama zote yanabebeshwa makampuni ya kutengeneza sigara....
Utafikiri yanawakamata wavuta sigara na kuwavutisha kwa lazima....[emoji51][emoji51][emoji51]
Purukushan zote zote tu.Wacha bhana
Kikubwa hasa ni gani umemiss[emoji848]
Wala hata mie mbna sifagilii, nikimpenda mtu nimempenda, na huwa nazama haswaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] kuacha materials kabisa ni ngumu maana hizo materials ziko za aina nyingi. ila hizo mambo za magari sijui mshikaji ako na pesa.. ni za watoto kina Coca
Safi, pambana.Nishapiga moja jana
Ooh vyema .. umefanikisha ndoto yakoHaswaaah UD ni chuo kizuri mnooo. Nilikua naomba Jah niletwe hapa tyuuh, na hata kwenye maombi niloomba hapa tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo utoto huo wakikua wataacha,Kuringishia naweeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan nawee usivae khaaahNilimind mmoja huyo, niko future vision kariakoo kaja kavaa ID,, kuwa anawaogopa auxiliary au
Wacha wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chimbo la wachache
Msumari mzuri uliosimama na kunyookaTunataka aste astee… uwe nusu ya hivyo ulivyoandika
Thank you sis,, appreciate itSafi, pambana.
UD ndo Harvard yetu ...Ooh vyema .. umefanikisha ndoto yako
Huwa ni tamanio la wengi ...