cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
Ndo utoto huo wakikua wataacha,
Kama nilivyo mie siwezi ringishia eti na date na babe ana biashara,kazi,pesa,gari na majumba wakati hazinihusu,
Unaringisha na haujawahi ulizwa idea yako ya biashara ni ipi?? na upewe pesa ngapi uanzishe business
Unaishia kutembelea matako na kuulizwa utatakula chipsi kuku au??






sasa watawazq hayo wakishaachana na mambo ya boom.

haya tumeacha.