Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yup,, Ukikuwa utajua.

Mie Manual siijui
Imagine ndio niijue… nianze kudrive ma Lc/ hilux ya ofisi
Eti kesho kutwa Gallius aje na Taqo lake la nyani nipate kiwewe!!!

Hiko sio kichaa??

Dogo you’ve to understand suala la Mwanaume kuwa na hela na kuwa supportive kwako.
Mambo za mashost wakuonee gere kisa Vanguard imekuja kukuchukua geti la chuo ni ukichaa
nataman hata wawe wanasoma hapa, maana daaah. Ni hatareeeeeh.
 
Kipindi hiko kama hujitambui utatumika mno ukija shtuka ushajizekeea wanakubwaga wanachukua vyuma vipya.
Sis easy and right,, are different words but indistinguishable if hutakuwa makini,,

Mabinti wengi huchagua easy wanasahau hakuna tendo lisilo na matokeo,, hata kama huwezi kuyaona sasa ila LAZIMA YA JE
 
Back
Top Bottom