Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,274
Mie teinnnaaaaaaa😘😘♥️Nakuaminia![]()
Mie teinnnaaaaaaa😘😘♥️Nakuaminia![]()
Mie naenda kwa museven shos!!Noumaaaaaah sanaaaa shougaaa angu, hebu huko nidokezee kule mbna km nataka kuunga dots?? Guess???![]()
Pamoja sana shos akee!!Wacha weee kawasalimie huko,![]()
Tuko hapa tunapumulia mashine mamaaa tukomesheee tukomesheee!!!Haswaaaa
Mkae kwa kutulia
Tenaaaa mjishikilie💃😁👌👌
Hatareeeeeeeh sanaaaaa!!!Hahaha
Nilikuwa nimeenda kutembea kidogo
Hapa nilikuwa ndo nasepaa
Haaahaa,nilikuwa napata kamuda ka kutembea nchi za watu![]()
Tunatetemekajeee mamaaaaa😘😘😘😘🤩🤩🤩 uko hoooottt fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Hahaha
Nilikuwa nimeenda kutembea kidogo
Hapa nilikuwa ndo nasepaa
Haaahaa,nilikuwa napata kamuda ka kutembea nchi za watu😁
Mwenyewe nina muda sijavaa Kitambaa, ila Kuna wakati mazingira yanalazimisha.Iko poa sana dahh mm Mara ya mwisho kuvaa surual ya kitambaa sijui lini
Kuna siku bi mkubwa wangu alinunulia shati la kinigeira lina rangi rangi kama batiki yani alikuta nimempa x wangu kavaa afu tunaingia home tu nilikimbizwa na mwiko sitasahau
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Asante mamy!Raba tamu😘😘😘👌
Thanks Mjukuu, Bibi yako atafurahi kusikia salamu zako, Kwa maana ni kitambo hujaja Kijijini kumsalimia 🤪🤪Safe flight babu,, salimia bibi 🥂
Weeee noumaa sana mamaaaa.. sio mtu wa kawaida kabisa tina!! Mutu ya kutembea hewani kwa hewaaaa🙌🙌🙌🙌😘Hahaha
Nilikuwa nimeenda kutembea kidogo
Hapa nilikuwa ndo nasepaa
Haaahaa,nilikuwa napata kamuda ka kutembea nchi za watu😁
Jamani Mjukuu, Jana ndiyo ilikuwa tarehe yangu kwenda Kliniki ya macho. Leo ndiyo narudi Kijijini.Mutu ya kutembea hewani tyu!! In coca's voice
HahaaaaWeeee noumaa sana mamaaaa.. sio mtu wa kawaida kabisa tina!! Mutu ya kutembea hewani kwa hewaaaa🙌🙌🙌🙌😘
😁😁😁🙌jmnBabu Grahams na Christine1 watu wa hewani tu shikamooni 🙌🙌🙌🙌🙌!!
Let me check my schedule babu akee anytime soon!!Jamani Mjukuu, Jana ndiyo ilikuwa tarehe yangu kwenda Kliniki ya macho. Leo ndiyo narudi Kijijini.
Utakuja lini kumsalimia Bibi yako, she has real missed you 🙊
Isingekuwa suala la kuhudhuria Kliniki sidhani kama Wajukuu wangenikweleza Pipa 🤪🏃🏃🏃Babu Grahams na Christine1 watu wa hewani tu shikamooni 🙌🙌🙌🙌🙌!!
Useme mapema, Kwa maana Mimi na Bibi yako tunakaribia kurudi shambani kwaajili ya maandalizi ya kilimo Cha kiangazi 🤪🙈Let me check my schedule babu akee anytime soon!!
Aendeleee tu kupokea za juu juu, maana dalili za kuja ndizo hazipo 😔Thanks Mjukuu, Bibi yako atafurahi kusikia salamu zako, Kwa maana ni kitambo hujaja Kijijini kumsalimia 🤪🤪