Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mukwano[emoji176]
FB_IMG_1656675424195.jpg
 
Ambia bibi nammiss sana 😘😘

Nilikuwa nae tu juzi kati ila leo nishammiss,, mwambie nitakuja kabla ya Christmas 🎅
Ili nimletee vitenge vya kushona nguo ya sikukuu
Na unavyomjulia Bibi yako sijui hata umempa nini, she always speak of your name.

Kwa kweli ujage, si unajua sisi wawili umri wetu umesonga 🤪🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom