Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it


Screenshot_20220701-032352_Instagram.jpg
 
View attachment 2278130
Walau hii haiumizi masikio sana.

Hello Friday
Iko poa sana dahh mm Mara ya mwisho kuvaa surual ya kitambaa sijui lini
Kuna siku bi mkubwa wangu alinunulia shati la kinigeira lina rangi rangi kama batiki yani alikuta nimempa x wangu kavaa afu tunaingia home tu nilikimbizwa na mwiko sitasahau

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom