🙏🙏🙏😘Ndiooooooo!!
😁😁😁 bibi na mjukuu wake tena? Tunawezana wenyewe… salam zangu kwake,, na muelezee nampenda sana 🤗Na unavyomjulia Bibi yako sijui hata umempa nini, she always speak of your name.
Kwa kweli ujage, si unajua sisi wawili umri wetu umesonga 🤪🏃🏃🏃
Thanks Mjukuu, glad to hear that😁😁😁 bibi na mjukuu wake tena? Tunawezana wenyewe… salam zangu kwake,, na muelezee nampenda sana 🤗
Kiongozi unakula nchi jaman huna watoto wakike Nina jambo langu[emoji847][emoji847] jokesView attachment 2278221
The cloud [emoji3509] is clear
Ila kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilivaaga suti balozi akapiga mayowe nikataka nipewe mke toka siku hyo sitak kusikia Habari ya sutiMwenyewe nina muda sijavaa Kitambaa, ila Kuna wakati mazingira yanalazimisha.
Kuna siku tulikuwa na kikao mahala Fulani, that day nilivaa jeans [emoji158] unfortunately mwenyeji wetu alikuwa boss namba 3, so nilikimbia maeneo ya Mjini faster nikatafuta suit nikatinga kuendana na mazingira [emoji2957]
Kama kawaida yako [emoji2][emoji2]Ila kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilivaaga suti balozi akapiga mayowe nikataka nipewe mke toka siku hyo sitak kusikia Habari ya suti
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mnabadilisha majina ww Nani siyo x wangu kweli wwKama kawaida yako [emoji2][emoji2]
Wewe ulifanikiwa hadi ku quote, mimi hata like tu nilishindwa nikaambulia manyoyaAh mzee wa chap huyu
Eeh Mjep tufanyie wepesi hata sekunde mbili madam apate kuona tena .
Wee imeanza lini hiyo x [emoji16]. Ww mwenyewe umebadili but nimekugundua.Mnabadilisha majina ww Nani siyo x wangu kweli ww
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ukaogopa kuozeshwa ndoa ya Mkeka?Ila kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilivaaga suti balozi akapiga mayowe nikataka nipewe mke toka siku hyo sitak kusikia Habari ya suti
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo ukaogopa kuozeshwa ndoa ya Mkeka?
Shida ya suit ni kuitwa Kiongozi wakati mfukoni hakuna kitu [emoji2957]
Umenigunduaje ww binti mkorof [emoji23][emoji23][emoji23]Wee imeanza lini hiyo x [emoji16]. Ww mwenyewe umebadili but nimekugundua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kwahiyo ukaogopa kuozeshwa ndoa ya Mkeka?
Shida ya suit ni kuitwa Kiongozi wakati mfukoni hakuna kitu [emoji2957]
EmenJina lako zuri sana hongera kwa ubatizo[emoji23]
Bahati mbaya ninao wakiume tuKiongozi unakula nchi jaman huna watoto wakike Nina jambo langu[emoji847][emoji847] jokes
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787] utajua hujui... Mimi nashukuru kwsbb umeshanifahamu labda.Umenigunduaje ww binti mkorof [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app