Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Iko poa sana dahh mm Mara ya mwisho kuvaa surual ya kitambaa sijui lini
Kuna siku bi mkubwa wangu alinunulia shati la kinigeira lina rangi rangi kama batiki yani alikuta nimempa x wangu kavaa afu tunaingia home tu nilikimbizwa na mwiko sitasahau

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Ha
Wee shougaaaaaah hebu kwan, mbna pigo za leo umetoka kinyamwenga sanaaaa, kareeee hiyooooo.

Weee leo umepiga bao aseeeeeh, mwenzio niko hapa nacheka uzi jukwaa la mahusiano, hizo comments sasa, hoiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha.. Ebu nitag namie nije kucheka shos akee!
 
Ha
hahaha.. Ebu nitag namie nije kucheka shos akee!
Ngoja nika kutag. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uliona picha ya Mr vocha jana? Kareeeee utasema yuko Las Vegas, afu alikua ana angalia pilau mix kwa simatifoni yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miss u madam boss...😘😘😘
Nipo sema si comment sana
Halafu sijapiga picha mpya bado ndo maana ,but I promise hizi 3 days Nina out flan hivi amaizing,location za maana utafurahi madam nitakubless💃💃
iiiiiiiiigggggweeeeeeeeeeeeeehhhh!!🤸🤸🤸🤸🤸😘😘😘😘 Nakuaminia mamaa Abiudi hujawahi niangusha kabisa!
Santo sana ♥️
 
Miss u madam boss...[emoji8][emoji8][emoji8]
Nipo sema si comment sana
Halafu sijapiga picha mpya bado ndo maana ,but I promise hizi 3 days Nina out flan hivi amaizing,location za maana utafurahi madam nitakubless[emoji126][emoji126]
Ndyoooooh uje utetemeshe uzi wetu. Nasubiri mama Abiud.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja nika kutag. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uliona picha ya Mr vocha jana? Kareeeee utasema yuko Las Vegas, afu alikua ana angalia pilau mix kwa simatifoni yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sijaiona shos mwambie arudie jamani @ Mjep irudiwe irudiweee
 
What if..
FB_IMG_1656672629537.jpg
 
Back
Top Bottom