Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Embu nitumie lips akoWasap image tena ya leo june 30… inakuwaje tbt?
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Embu nitumie lips akoWasap image tena ya leo june 30… inakuwaje tbt?
Kuna wale academic referees,, ni hatari miaka yote chuo hujawah cross path nae,, in any issue ni hatari,, unampelekea akuandikie referral letter anakuandikia nn sasaNyie mnabandika Referee ambao hawana uhusiano wowote na nyie. Unataka ajaze nini sasa ? Referee hakikisha ni mtu anae kujua na ni mtu unae mjua, na anajua maisha yako binafsi na ya kazi kwako maana huyo wakati mwingine ndio kama mzamini, sasa kuna mzamini yupo anaeweza kumzamini mtu asie mjua ?


Ni mdogo ake Depal kumbeWadada wa selfika njooni mumzabue huyu kiumbe ili akili zimrudie
Depal picha ya mdogo wako dimples imemfanya mtu anitukane huku![]()
Wale wa juu aisee hali yao itakuwa tete sana. Imagine miezi ya kawaida tu kulivyo na baridi....Chief unanitenga sana.. chief.. ! Leo kulikuwa na baridi flani amazing hadi ikanilazimu kuchukua duvet, shuka na shuka , sasa kule juu sijui itakuwaje![]()
Ataachika tu huyo nyau na hata olewa kamweKumbe ndio huyu ? mbona uliacha patamu sana mkuu, kitu kizito hakiwezi mpata yupo na nyau anakula maisha![]()
Na ndio watu wengi wana referees wa aina hiyo hasa kwa sie hapa Tanzania na kwa uzoefu wangu.Kuna wale academic referees,, ni hatari miaka yote chuo hujawah cross path nae,, in any issue ni hatari,, unampelekea akuandikie referral letter anakuandikia nn sasa![]()
Itabidi nikawatoe wangu, najisikia vibaya kweli, ila cha ajabu kuna eneo kule kule ni kuna joto huwezi lala umejifunikaWale wa juu aisee hali yao itakuwa tete sana. Imagine miezi ya kawaida tu kulivyo na baridi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndo utaona umuhimu wa aliyekuwa academic advisor wako na miaka yote hujawah kwenda kumuonaNa ndio watu wengi wana referees wa aina hiyo hasa kwa sie hapa Tanzania na kwa uzoefu wangu.


Asante sanaHili ni tatizo. Kuna shida kwenye foundation yetu nchi kama nchi. Hasa kwenye sector ya elimu. Idara ya elimu inaendeshwa zaidi kimazoea kuliko kujua dunia inahitaji nini. Ingawa pia kwa sehemu pia wahusika tumekuwa exposed na mitandao ambayo tunaweza kuitumia kwa manufaa yetu katika kujiimarisha na kwenda na wakati wa dunia ila bado tume stuck, na kilichopo tunakitumia vibaya wachcahe wanao tumia wanapata manufaa kwa sehemu. Ningekuwa na ndoto ya kutoka nje ya tanzania hii comments na ya kwanza imebeba vitu muhimu ningeanza fatilia point to point..
Kina Tinsley cocastic njooni msome hapa itawasaidia
Sweetheart

. Mie mbona nimeshaolewa. Dua gani tena hizo tunaombeana.Wamafunzi wa kitanzania tuna fail sana 😄😄😄😄 ila kikubwa tunapumua na kuishiHapa ndo utaona umuhimu wa aliyekuwa academic advisor wako na miaka yote hujawah kwenda kumuona![]()
Eeh uncle fanya namna uende mbele, ivi ndio unataka kwenye U.k au USA 🙂🙂Asante sana
Hakika mmenena vyema .. nimejifunza jambo hapo
Utaachika tu huwez kunitesa kiasi hikoSweetheart. Mie mbona nimeshaolewa. Dua gani tena hizo tunaombeana.
Na kapendeza kweli kweli sasa hivi 😄😄😄
For 4 years mtu hajawah pata glitch ya aina yeyote aende kwa lecture kufanya niniWamafunzi wa kitanzania tuna fail sanaila kikubwa tunapumua na kuishi

noumaa. Wanachambua balaa.Ndio ivyo, ila pia hata Unao fanya nao kazi, au ma mentor wako wanaweza kuwa referee wako.For 4 years mtu hajawah pata glitch ya aina yeyote aende kwa lecture kufanya nini![]()
😄😄😄 wamakata kama hawana akili nzurinoumaa. Wanachambua balaa.
Si ndo mpaka uwe umewahi fanya kazi,, yule ambaye ni fresh undergtad anaandika naniNdio ivyo, ila pia hata Unao fanya nao kazi, au ma mentor wako wanaweza kuwa referee wako.