myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Si kila mechi upate ushindi..unachagua mechi za kushinda. Ukishinda za nyumbani bora....Umekubali kushindwa 🤪
Miaka tulioishi ndiyo maana tuna Wajukuu wengi 🙊
Si kila mechi upate ushindi..unachagua mechi za kushinda. Ukishinda za nyumbani bora....Umekubali kushindwa 🤪
Miaka tulioishi ndiyo maana tuna Wajukuu wengi 🙊
Hapana jirani. Mimi muwindaji jirani..sisubiri mabaki.Nimekushtukia unaweza kuwa fisi mla kimyax2😆😆
Washa feni ujifunike shuka ama blanket
Shalom kaka la kakaMama la mama shalom🤼
Ts sound good 😂Shalom kaka la kaka
Hilo nalo nenoHapana jirani. Mimi muwindaji jirani..sisubiri mabaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza hebu usinikumbushe mate yashajaa mdomoni, natamani ulanzi hatareeee.Wewe Mjukuu huchelewi kusema hicho Kinywaji ni Ulanzi wa kutoka Songea [emoji2957]
Tunaangazia maeneo jirani ili huyu mtu apate sababu ya kukuita jirani🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna siko Pwani mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie akuje hyatt regency, bill juu yangu.Tunaangazia maeneo jirani ili huyu mtu apate sababu ya kukuita jirani[emoji1787]
myoyambendi dili hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie akuje hyatt regency, bill juu yangu.
Muda umeenda, wiki ijayo ntakwa lwani tena..Tunaangazia maeneo jirani ili huyu mtu apate sababu ya kukuita jirani🤣
🤣🤣🤣 Ningesema mapema, nimekosa bahati.myoyambendi dili hilo
Jirani wiki ijayo narudi tena. Ntakutafuta..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie akuje hyatt regency, bill juu yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]myoyambendi dili hilo
Karibuuu tenaaa,Jirani wiki ijayo narudi tena. Ntakutafuta..
Sawasawa jirani. Nikija ntapita maeneo yakoKaribuuu tenaaa,