Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Naona unataka uniponze mwishowe nishindwe kuinywa🤣Mix na orange juice
Inakuwa pambeeeView attachment 2276642
Naona unataka uniponze mwishowe nishindwe kuinywa🤣Mix na orange juice
Inakuwa pambeeeView attachment 2276642
Sasa nani kakutuma usome visivyokuhusu?Dogo wewe ni daktari wa kuku?
Naona misamiati kadhaa hapo kwenye pc,kuku,kideri,karoti,mafia na mingine mingi
Baadae mnaanza kugugo 'jinsi ya kuondoa kitambi na nyama zembe kwenye tumbo' ahahaha😅
Aliyumbisha Camera sijui.Sio maruweruwe mgonjwa ni picha ilivo!!
Vipi unaendeleaje saivi??
Uweki chungwa nyingi… 🤣🤣Naona unataka uniponze mwishowe nishindwe kuinywa🤣
Akhsante 😆Ichemshe ili virutubisho vyote vibaki kwenye maji,kisha ipua iache ipoe
Ukishamaliza kuandaa nipatie glass moja,napenda sn juice ya rozella
Hujajibu swali mtoto,wewe nindaktari wa kuku au unaandika article gani hapo?😎😎Sasa nani kakutuma usome visivyokuhusu?
Ianze kunuka kama st Anna,nishindwe kunywa 😂Uweki chungwa nyingi… 🤣🤣
Ila inakuwa tamu wewe
Saint Anne ussikilize huyu,unaweza kuharisha😅Uweki chungwa nyingi… 🤣🤣
Ila inakuwa tamu wewe
Itakua...!! pole sana yataisha soon!!Aliyumbisha Camera sijui.
Niko fit,Naugulia tu maumivu ya sindano nilizokula😂
Nimetamani hii pembeni sijui ni kababu
😃😃 mponzeSaint Anne ussikilize huyu,unaweza kuharisha😅
Siwezi nikamsikiliza,, anataka nitengeneze pombe huyu!Saint Anne ussikilize huyu,unaweza kuharisha😅
Ah acha tule tuBaadae mnaanza kugugo 'jinsi ya kuondoa kitambi na nyama zembe kwenye tumbo' ahahaha![]()
Anataka uranduke😅😅Siwezi nikamsikiliza,, anataka nitengeneze pombe huyu!
Kweli kabisaAh acha tule tu
Vitambi vipo tu .. haviepukiki kabisa
Sio kwamba kila siku utakula Pizza .. ugali upo unatusubiria daily .
Amin..Itakua...!! pole sana yataisha soon!!
😁😁😁 niachie mambo yanguHujajibu swali mtoto,wewe nindaktari wa kuku au unaandika article gani hapo?😎😎
Hii ni andazi la nyamaNimetamani hii pembeni sijui ni kababu
Niko poa ssna tunakimbizana na abiria..Kazi ya ukondakta ngumu snNipo dear mzima wa afya kabisa vipi wew