Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakuja na kachumbari + samaki wakavu.
Kachumbali Sawa,Ila samaki sijawahi kuweza Kula Kwa kurumagia hata siku moja..mara zote samaki wanaisha, ugali unabaki

Njoo na kachumbali,mboga ipo
JamiiForums773122143.jpg
 
Nikupe mbinu ya kumiliki gari ilhali mwenyewe sina gari ebu acha utani
Ndy tatizo lenu wenye maisha..Hampendi kutushirisha kwenye mbinu zenu Hadi mkafanikiwa,ili na Sisi tulambe asali

Ila nakuona kwenye nyuzi zote za magari ankoli unatoa nondo za maana..Yule jamaa wa kukataa kununua gari used za mzungu ambazo ni used from Japan sijui mlimalizana vipi ktk vita yenu,maana kila mmoja alikuwa anakaza fuvu hataki kumuelewa mwenzie
 
Sio kila fundi garage ana gari, na sio kila ukimpenda mwanamke anakuwa wako. Nayapenda tu magari, siku moja nikipata na mie pesa nanunua langu.. nitapost na vi picha labda naweza pata mpenda magari ,😄😄😄😄 maana najua Depal anapenda muungurumo kama wa simba.. akisikia muungurumo atanifikiria kidogo
 
Kumbe nipo kwenye Raiti trakii
Damu yangu imeshuka sana.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ongeza na juice ya Rozelle,damu itapanda Kwa haraka zaidi.Mimi ninayo ndani natumia mara Kwa mara

Majani yake yanapatikana Kwa urahisi Sana km upo Dar na fungu la buku unapata juice nyingi sn.Mara kadhaa nayatumia kutengenezea wine
 
Back
Top Bottom