Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Kuna hadi maandazi ya nyama!??Hii ni andazi la nyama
My favorite
Halafu recipe sio ngumu .. siku niijaribu kuipika hii
Dunia inakimbia hii😂
Kuna hadi maandazi ya nyama!??Hii ni andazi la nyama
My favorite
Halafu recipe sio ngumu .. siku niijaribu kuipika hii
EwaaaaaMambo yako nakuachia mwenyewe
Cc: mwafulani
Vizuri sana kujispoil mwenyeweKweli kabisa
Watu wanabuni eeh kila siku vipyaKuna hadi maandazi ya nyama!??
Dunia inakimbia hii![]()
Sato unataka kufuga kuku niwe mgeni wakoDogo wewe ni daktari wa kuku?
Naona misamiati kadhaa hapo kwenye pc,kuku,kideri,karoti,mafia na mingine mingi



Maneno huumba!Amin..
Tumediscuss juzi kati kuhusu sindano,,kumbe naenda kuzizoa![]()




Hakuna kitu rahis maisha haya pambna tuNiko poa ssna tunakimbizana na abiria..Kazi ya ukondakta ngumu sn
Hamna kitu humu😅😅😅 kwamba ushafanya ‘Trial and Error’?
Mnataka nisemaje sasa au mpaka niandikie uziNilimuuliza hili swali akala kona![]()
Na wakanichoma manesi wa kike niliokuwa nawataka😂Maneno huumba!![]()
Nataka nifuge my dearSato unataka kufuga kuku niwe mgeni wako![]()
Kweli aseeHakuna kitu rahis maisha haya pambna tu
Samahani, haturudiiMnataka nisemaje sasa au mpaka niandikie uzi
Hongera SanaNataka nifuge my dear
🎤 🎼 🎶
Wise man said, "Follow the stars
There you shall find a piece of advice"
If you hate your enemies, enemies shine
If you're not a friend of me, enter the light
Coz you can never kill my vibe
Got here with no sacrifices
Everythin' once taken, still had to make it
Vibe killer, me I no go take shit 💩