Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nina huyo mtu mdada alizinguana na bwana ake walikua kama wameachana kabisa haya nikajikuta mama ushauri ongea weee hee hata mwezi haujaisha wamerudiana, mimi sasa ndio nikaanza kusemwa naona wivu kisa mahusiano yangu mabovu nao nataka kuwaharibia nilikomaaa [emoji23]
Yaani hata siku moja usije washauri watu kuhusu mahusiano.
Wakipatana unaonekana wewe mwanga[emoji1787].

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Na halafu wenye magari hawapigagi stori sana[emoji1][emoji1]
Wapanda daladala tunateseka sn hapa duniani
IMG_20210917_121046.jpg
 
Wewe ni mchawi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Jinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimecheka kama mwehu[emoji23].

Tulia tafuta kiti kula ugali kwanza.View attachment 2276422

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nipo mizani

Hapo mbele kuna kuku

Na kila kitu

Bado huko Kahama

Full kujilamba ndani ya Mayele[emoji1787]

Huko ulipo napo

Utaachwa tu
 
Haya mazuri hata mimi natumia. Kuhusu perfume inategemea sasa mana sio wote wanapenda. Ila kwa mfano ukiwa unatumia na mwanadada akawa anavutia nayo mambo yanazidi kunoga.
Kuna binti kanichamba huko juu,ananiambia utumie mafuta ya Nazi kwani wewe junior? Nikapita kimya kimya
 
Back
Top Bottom