Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ni utani tu loh!!

Sidhani kama ipo.

Sasa fanya mpango upande discovery.

Sijui kwanini vitu vizuri vinakuwa na tabia ya kustic akilini [emoji28][emoji28]loh
Discovery niliwahi isukuma toka Dar had Chuga, afu nilikua peke yangu, yule mwamba alikua ananiamini mnoooo.
Daaaah imebaki storyyyyyy!!!!
 
Back
Top Bottom