Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie me naumwa
Nimechoka kujikaza
Nakazaaa!! Kitu hata hakikaziki!! Alaaaa

Uti na typhoid ni negative
Huku kuna baridi, ila nahisi mie nalisikia zaidi kuliko wenzangu..

Ikifika jioni baridi inazidi, mwili unanichemka haswaaaa mpaka najihisi.. nakuwa nahisi mwili mchovu

Maajabu ikifika saa 3 kama hivi joto lile linaisha lenyewe
Dozi

Alfajiri kimoja

Mchana kimoja

Usiku viwili

Kwa siku tatu

Unapona kabisa
 
Back
Top Bottom