Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
Kisa?Mimi ni mzima wa afya tele kabisa japo nimezongwa na upweke unaofanya nikukumbuke picha yako usoni inanifanya chozi linitoke......
Kisa?Mimi ni mzima wa afya tele kabisa japo nimezongwa na upweke unaofanya nikukumbuke picha yako usoni inanifanya chozi linitoke......
Haijapoa 😩😩
,,😊😊😊😊 mambo si ndio haya sasaSawa utamuuliza then mtanijuza shangazi enu!
Check na MalariaHaijapoa 😩😩
Nimepa ushauri aje gheto hataki muache apambane na hali yake 😃😃😃 home yake dawa ninazo set kamiliCheck na Malaria
Wanasemaga malaria huku hamna,,Check na Malaria
Kingine mchosahau????🤗,,😊😊😊😊 mambo si ndio haya sasa
Kapime hivyohivyoWanasemaga malaria huku hamna,,
Amesema bora aendelee kuumwa kuliko kuja kwakoNimepa ushauri aje gheto hataki muache apambane na hali yake 😃😃😃 home yake dawa ninazo set kamili
😊😊😊 mengine kule ndani tutayajengaaa , eeh! vyumba vya wageni tuKingine mchosahau????🤗
Na mkasaKisa?
🤦🤦🤦 anachoogopa ndio kimempa homa shauli yake 😃😃Amesema bora aendelee kuumwa kuliko kuja kwako
Hilo Msiwaze Kabisa..Vyumba vipo vingi sana na Will be so happy kama utaambatana na wizoo akee! Aje kula senene na matoke na ntongo;!😊😊😊 mengine kule ndani tutayajengaaa , eeh! vyumba vya wageni tu
wizoo tena 🙎🙎🙎mwiko kwa sie.madereva kutembea na familia ikitokea jari je wote mpoteee 😊😊Hilo Msiwaze Kabisa..Vyumba vipo vingi sana na Will be so happy kama utaambatana na wizoo akee!
Itanibidi…Kapime hivyohivyo
Huyu mwamba mbona haja nitonya? Mie nipo hapa pembeni ya samaki samaki napata kitimotodah! mwanangu mzabzab location
Ajare zishendweeeeeeee in Jesus name!!wizoo tena 🙎🙎🙎wiko kwa sie.madereva kutembea na familia ikitokea jari je wote mpoteee 😊😊
ucheki na mimba 😬😬😬Itanibidi…
Kumbe bado unatafuta wii!!😁😁😁
Ni mapito.... Si bado tunatafuta au🏃🏃🏃
Lets wait n see....💃💃💃atakaefaa anang'oa