Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Vile viwili vya afyana ukipata vingine viwili safi [emoji4][emoji4]
Anashiba vizuri
Vile viwili vya afyana ukipata vingine viwili safi [emoji4][emoji4]
Kimoja lazimaHahaha hapo nitashiba sana unisaidie kimoja [emoji23]
KabisaUtalala safi bila kushtuka [emoji41][emoji41]
OhEwaah na hii hali ya hewa
Ndani ya blanketi
Nimeshajieleza mnoKweli..ila kama mwanaume, eleza hisia zako kwao..Kila mtu kuna mahali anapenda....
Kabisa[emoji2][emoji2][emoji2] wa bugurini hawaijui chit chat wala jf.. mwanamke akijiunga tu JF umeisha.. atajanjaruka hukuu hatari..
Pole rafikiHivi kaka yetu wa Mbeya alishapigwa chini mazima?
Aisee hili penzi jipya linaenda spidi kali sana.
Vipi hali yakoKichaa sana wewe hahah!
Hamna bhana , maandishi tu haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua siku 2 hizi umechachuka sana?
Kaa kwa kutuliaNi kaka yetu wa Mbeya au tumtazamie mwingine?
Eh sjaelewa mieKimoja lazima
Hapo inakuwa BTTS
Hakika[emoji2][emoji2][emoji2] kitaa wapo kuku wa kienyeji buku tena zinatosha kuwahudumia sio nyie .. nyie mkoba tu 150k, perfume 300k, viatu 200k, saa 450k, hamtaki boda boda.. kwendeeeni zenu
Hakika rafikiOh
Hapo dunia yote
Inakuwa kiganjani mwako
MuoneNdiwoooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kweli akati. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna bhana , maandishi tu haya [emoji23][emoji23]
KabisaAlaf hawa wa JF viuno vizito kama fuso engine
Ulimjuaje MkuuHata kukutana nao ujawahi mimi nlibahatika kwenye mwendokasi nlipanda nae wa kawaida tu
Kule kimasiharaWe umejuaje? Tuanze hapo kwanza
Usiniambie[emoji2][emoji2][emoji2] mie niio kutana nao wakali, ila nyodo, baada ya hapo nahisi wanafuta ga na namba, maana huwa nikiwapigia kila saa simu ipo busy
Katoa nyingine[emoji848]Kule ndo umefocus sana au una target yako