Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha...we jamaa bhana

Umeona chini ukathaminisha kuwa juu yaliyomo yanaweza kuwemo

Kwema lakini mkuu Nations
,๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Ukishakuwa na uzoefu wa vita vyote vya msituni, mjini, angani, majini, ardhini hakuna utacho shindwa interpret.. mzee baba Focus Focus I wish .. ningekuwa mie ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ ka phone kangekuwa kuleeeee walahiii
 
IMG_6308.jpg

Usiku tulivu,samaki samaki Morogoro
 
Nyie me naumwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nimechoka kujikaza
Nakazaaa!! Kitu hata hakikaziki!! Alaaaa

Uti na typhoid ni negative
Huku kuna baridi, ila nahisi mie nalisikia zaidi kuliko wenzangu..

Ikifika jioni baridi inazidi, mwili unanichemka haswaaaa mpaka najihisi.. nakuwa nahisi mwili mchovu

Maajabu ikifika saa 3 kama hivi joto lile linaisha lenyewe ๐Ÿ˜ฉ
๐Ÿคฆ๐Ÿคฆ๐Ÿคฆ Unatumia kilevi gani ?
 
Nyie me naumwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nimechoka kujikaza
Nakazaaa!! Kitu hata hakikaziki!! Alaaaa

Uti na typhoid ni negative
Huku kuna baridi, ila nahisi mie nalisikia zaidi kuliko wenzangu..

Ikifika jioni baridi inazidi, mwili unanichemka haswaaaa mpaka najihisi.. nakuwa nahisi mwili mchovu

Maajabu ikifika saa 3 kama hivi joto lile linaisha lenyewe ๐Ÿ˜ฉ
Umecheki malaria?
 
Nyie me naumwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechoka kujikaza
Nakazaaa!! Kitu hata hakikaziki!! Alaaaa

Uti na typhoid ni negative
Huku kuna baridi, ila nahisi mie nalisikia zaidi kuliko wenzangu..

Ikifika jioni baridi inazidi, mwili unanichemka haswaaaa mpaka najihisi.. nakuwa nahisi mwili mchovu

Maajabu ikifika saa 3 kama hivi joto lile linaisha lenyewe [emoji30]
Poleeeeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom