Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Kwendraaaaaa ππππ sema jf kama una kichwa panzi unaweza shindwa elewa watu eeeh π€£π€£π€£πππ balaaa limekujaa
Kwendraaaaaa ππππ sema jf kama una kichwa panzi unaweza shindwa elewa watu eeeh π€£π€£π€£πππ balaaa limekujaa
AMINA mpendwa wangu/wetu katika bwanaMungu mwema
Na si hatutaki kuwasikiaπhawana haja na salamu zemu π€£π€£
ππππ tunajitahidi kwa namna zetu, Kwendraaaβ¦ wababa hawapendi viuno feni π€£π€£π€£hamjua mambo.. aaaah! ndio maana jamaa aksema mna viuno vizito kama Fuso bovu ,π€£π€£π€£π€£ sasa ndio naelewa
Naona upo dada ananiteteππ wakubwa mna raha sanaa
ππππ hata viuno gogo bado hamna..ππππ tunajitahidi kwa namna zetu, Kwendraaaβ¦ wababa hawapendi viuno feni π€£π€£π€£
Ulitujaribu?Alaf hawa wa JF viuno vizito kama fuso engine
NationsNaona upo dada ananitete[emoji1][emoji1] wakubwa mna raha sanaa
NambieNakuona poti
mkuu T 1990 ELY focus.. muhimu.. chini inanipa picha ya juu.. utafaidi sana kwa huo utetezi .. na mie nitakuwa
Yamooooo..............Dah ππ€£
Kwahiyo yamo au hayamo? Hahaahaa
NdiooUlitujaribu?
π₯°Even u dearπ
Nimependa ,hair style
Mi nikinyoa sipendezi hata
Hahaha jirani!! Mbona kwa sauti kubwa hivyoYamooooo..............
Hahaha...we jamaa bhanamkuu T 1990 ELY focus.. muhimu.. chini inanipa picha ya juu.. utafaidi sana kwa huo utetezi .. na mie nitakuwa
Kwa huo muonekano wako wa mashavu ya nje na huo mdomo/lips zako Yaliyomo Yamo mkuu tena yamo haswaDah [emoji23][emoji1787]
Kwahiyo yamo au hayamo? Hahaahaa
Nimeona vizuri jiraniHahaha jirani!! Mbona kwa sauti kubwa hivyo
Maji kama majiπ!! NdiooooUtatupokea basi.. maji moto neneee πππ