Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata sisi hatuwataki, tunataka wenye wanahudumia bila kuwaza.
Bodaboda for who? Why?😛
😬😬😬😬 Alafu nyie hata hamjui mapenzi, kama wetu kuku wa kienyeji vitundu vitundu hadi rahaa.. mida kama hii nakapitia tunaenda kula kababu au vichori, hapo jero tu, ila nyie mnataka piza elfu 32.. ama kweli mtuache tupumue.. shindeni mechi zenu na sie tushinde zetu
 
Alaf hawa wa JF viuno vizito kama fuso engine
 
😬😬😬😬 Alafu nyie hata hamjui mapenzi, kama wetu kuku wa kienyeji vitundu vitundu hadi rahaa.. mida kama hii nakapitia tunaenda kula kababu au vichori, hapo jero tu, ila nyie mnataka piza elfu 32.. ama kweli mtuache tupumue.. shindeni mechi zenu na sie tushinde zetu
Kachori nilikula shule za msingi saivi viwango tumeupgrade👌
 
Back
Top Bottom