Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hahaha , nakuaminia Uncleacha tutulie tuwatazame mashemeji zetu
Hahaha , nakuaminia Uncleacha tutulie tuwatazame mashemeji zetu
Mwambie jiraniMkuu usikate tamaa kirahisi hivyo..jipe moyo hao pia binadamu na wana upendo pia..
Kweli..ila kama mwanaume, eleza hisia zako kwao..Kila mtu kuna mahali anapenda....😃😃 mkuu sio kirahisi hivyo.. wana Big boy wao hawa ..
😉😉😉😉Hahaha , nakuaminia Uncle
,😃😃😃 mkuu mie wa humu siwawezi.. nimewachia nyieKweli..ila kama mwanaume, eleza hisia zako kwao..Kila mtu kuna mahali anapenda....
Hawa wa humu ndio hao wa huko. Watu ni sisi sisi...,😃😃😃 mkuu mie wa humu siwawezi.. nimewachia nyie
😃😃😃 wa bugurini hawaijui chit chat wala jf.. mwanamke akijiunga tu JF umeisha.. atajanjaruka hukuu hatari..Hawa wa humu ndio hao wa huko. Watu ni sisi sisi...
Hivi kaka yetu wa Mbeya alishapigwa chini mazima?
Tender lips 👄
JiraniiiiKweli..ila kama mwanaume, eleza hisia zako kwao..Kila mtu kuna mahali anapenda....
Kichaa sana wewe hahah!
Ni kaka yetu wa Mbeya au tumtazamie mwingine?For him😘
Una lips wewe tena sio za kupoozea chai
Tender lips 👄
Tuwacheeee😃😃😃 wa bugurini hawaijui chit chat wala jf.. mwanamke akijiunga tu JF umeisha.. atajanjaruka hukuu hatari..
😂😂😂🤣🤣🤣Una lips wewe tena sio za kupoozea chai
na kweli nime waacha, sina nguvu ya kufika mlipo.. acha nipambane na mama zangu wa uswazi 😃😃😃Tuwacheeee
😂😂😂 Wasalimiena kweli nime waacha, sina nguvu ya kufika mlipo.. acha nipambane na mama zangu wa uswazi 😃😃😃
Popote mtu anaweza kujanjaruka .. hakuna palipo safe , iwe hapa Jf au mitaani .wa bugurini hawaijui chit chat wala jf.. mwanamke akijiunga tu JF umeisha.. atajanjaruka hukuu hatari..
hawana haja na salama zenu, mtatuharibia watu wetu bure 😃😃😂😂😂 Wasalimie
Waambie sie tupo