Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,217
Ndio utafika Boda!?? Halafu ile wakati naenda nikaona Mkaka dizain mnafanana nikataka kuita Wigeeee hahahaaa..... Kumbe ni username tuAlhamis mapema tu



Ndio utafika Boda!?? Halafu ile wakati naenda nikaona Mkaka dizain mnafanana nikataka kuita Wigeeee hahahaaa..... Kumbe ni username tuAlhamis mapema tu



😃😃😃 fanyeni namna.. vijana wenzenu tupo hatuna kazi hapaJamani sio Kwa baridi na upepo huu🙌🙌🙌🙌
wakweli huko nje kutanisamehe tu
Khaaaa km tuko mbeya
Utatupokea basi.. maji moto neneee 😄😄😄Ndio utafika Boda!?? Halafu ile wakati naenda nikaona Mkaka dizain mnafanana nikataka kuita Wigeeee hahahaaa..... Kumbe ni username tu![]()
To whom it may concern!
😘😘
Jirani vipi hapo, nikaribie..
Karibu jirani tujenge AfyaJirani vipi hapo, nikaribie..
Asante, na hii baridi safi sana.Karibu jirani tujenge Afya
Hakika nishapata vikombe viwili hapa nipo full .Asante, na hii baridi safi sana.
na ukipata vingine viwili safi 😊😊Hakika nishapata vikombe viwili hapa nipo full .
Hahaha hapo nitashiba sana unisaidie kimojana ukipata vingine viwili safi![]()

Utalala safi bila kushtuka 😎😎Hahaha hapo nitashiba sana![]()
Ntakuwa mgeni wako jirani, Kwa uji na karanga havinichoshi..Hakika nishapata vikombe viwili hapa nipo full .
Ewaah na hii hali ya hewaUtalala safi bila kushtuka![]()
Karibu jiraniNtakuwa mgeni wako jirani, Kwa uji na karanga havinichoshi..
Asante...Karibu jirani
Yaani hapa umefika ,
Dah! wakubwa wanafaidi.. wanakula hizo lips dah 😋😋😋 acha nipite hivi tu hakuna namnaEwaah na hii hali ya hewa
Ndani ya blanketi
Mkuu usikate tamaa kirahisi hivyo..jipe moyo hao pia binadamu na wana upendo pia..Dah! wakubwa wanafaidi.. wanakula hizo lips dah 😋😋😋 acha nipite hivi tu hakuna namna
Hakuna wakubwa bhanaDah! wakubwa wanafaidi.. wanakula hizo lips dahacha nipite hivi tu hakuna namna



😃😃 mkuu sio kirahisi hivyo.. wana Big boy wao hawa ..Mkuu usikate tamaa kirahisi hivyo..jipe moyo hao pia binadamu na wana upendo pia..
😃😃 acha tutulie tuwatazame mashemeji zetuHakuna wakubwa bhana![]()