Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna kiumbe wa muhimu hapa duniani kama mama na akija kuondoka aisee muziki wake si wa kitoto.

It has been 5 yrs tangu mama aondoke lakini namba yake nishashindwa hata kuifuta. Kuna siku mambo yakinielemea huwa naiangalia tu natamani kweli niipige ili niisikie ile sauti tamu ya kizee "SYB walaga wane (kitinda mimba wangu) ūlīmhola. Ng'wamayū?"....and I would pay everything to hear that angelic voice again lakini ndo hivyo...kimyaaa cha milele!

Yes. Call your moms please. Tell them how you love and appreciate them...and help them whenever possible.....[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Siku akiondoka mama, ntakuwa uchi tena uchi haswaa.
Leo nimepiga nae umbea wee had baas, kichaa wake mie.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom