Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,156
- 7,807
PoleNyie me naumwa 😂😂😂
Nimechoka kujikaza
Nakazaaa!! Kitu hata hakikaziki!! Alaaaa
Uti na typhoid ni negative
Huku kuna baridi, ila nahisi mie nalisikia zaidi kuliko wenzangu..
Ikifika jioni baridi inazidi, mwili unanichemka haswaaaa mpaka najihisi.. nakuwa nahisi mwili mchovu
Maajabu ikifika saa 3 kama hivi joto lile linaisha lenyewe 😩

