Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Nimeshakabidhiwa mizigoHajachanganya sigara hapo!!
Alfajiri nalianzisha
Nisipolala Nyakanazi
Alfajiri nitakuwa hapo
Moro napita kama upepo
Nimeshakabidhiwa mizigoHajachanganya sigara hapo!!
Nione gauni kwa chini Wizo akee HS!!😘😘Umeona eeh
Mbona chacheNa safari lager 10
Ni tight tu mpk chini ,mpasuo kiasiNione gauni kwa chini Wizo akee HS!!😘😘
Mguu mkaliFor him😘
WigeeeMbona chache
Hapa nasubiri king'amuzi
Nikimaliza naenda kumwagilia moyo
Ahaaa asante sana binti Abiudi!!Ni tight tu mpk chini ,mpasuo kiasi
Mpenzi wa uji eeh?
Karibu sana mkuu
NaamWigeee
Yeah .. Napenda sanaMpenzi wa uji eeh?
Ndio alikuepo!! Toto imetulia sana hii!!Ulikuwa na ile
Pisi ya Ifakara![]()
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️!
Alhamis mapema tuNdio alikuepo!! Toto imetulia sana hii!!
Pole ..Its too cold ….. miguu ina freeze
vipi. huko pande zenu
Nakusalimu tuNaam