Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,211
😂😂😂😂😂 hapana spiderIzo dimple ndo zinakupa confidence ya kujbu ovyo waleta posa wewe
😂😂😂😂😂 hapana spiderIzo dimple ndo zinakupa confidence ya kujbu ovyo waleta posa wewe
🤣🤣🤣🤣🤣Na kuscreenshot picha zetu tukipost😂😂
😂😂😂 ulemavu huo, tulia
Na wapi wameandika waanwake muwe omba omba wa hela zetu 😎😎Tunawaongezea story
Vitabu vya dini vinasemaje? Hapana sehemu paliandikwa mwanamke atafute hela
😁😁😁post tumsifie😃😃😃 nikipost kuku wangu wa kienyeji hapa.. mtakimbia wenyewe hapa 😃😃😃😃
itakuwa kichwa cha news.. huko PM watu watashikana mashati 😃😄😄😄 acha nikause kausheeeAah wapi😂😂
Em tumuone
Tunawachoraaa tu 😃😃😃😃Halafu kutwaaaa wapo kwetu kwa sie tusiopendeza 😁😁
Hudumia bana 🤗Na wapi wameandika waanwake muwe omba omba wa hela zetu 😎😎
Mambo ya kuchemsha maji ya kizamani😃😃😃😃 mie huyu huyuu.. nilie huku hapa kuku wa kienyeji ana pasha maji kwenye mafiga matatu.. nikaogeshwa na maji ya hiriki.. we ushawai mfanyia hivyo big boy wako 😄😄
Sisi wenyewe si ndio ma CEO wa snitches industry!!Tunawachoraaa tu 😃😃😃😃
😄😄😄 mtamtamania bureeee ..😁😁😁post tumsifie
kama buku ten kwa wiki sawaHudumia bana 🤗
Akipendeza kwa huduma atazidi kukuvutia, huba lenu litazidi stawi 🔥
Hajui huyo,, jaccuzi limejaaa roses kibaoo 🤣🤣Mambo ya kuchemsha maji ya kizamani
Sie twaoga kwa jakuzi
Ten per day…kama buku ten kwa wiki sawa
Ogeeni kwenye majakuzi.. na sie twaoga kwenye pasport size.. nyie wa kishua hata kuvunjika kwa bed hamuwezi hasa sana nyie . popo kafia sokoni hamuwezi.. hataMambo ya kuchemsha maji ya kizamani
Sie twaoga kwa jakuzi
Atajulia wapi na anakoga kwa ndoo na kopo😂😂Hajui huyo,, jaccuzi limejaaa roses kibaoo 🤣🤣
anaitafuta yeye 😃😃😃 tena kwa wikiTen per day…
🤣🤣🤣🤣Ogeeni kwenye majakuzi.. na sie twaoga kwenye pasport size.. nyie wa kishua hata kuvunjika kwa bed hamuwezi hasa sana nyie . popo kafia sokoni hamuwezi.. hata
wa kishua ndio mnasema sio vita, kwetu ni vita na mshindi lazima apatikane.. unaijua giza kupatwa na nuru wewe ? unaijua mbingu ipishe moto ushuke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio vita ile ujue
Abee umeniita?🤣🤣🤣wa kishua ndio mnasema sio vita, kwetu ni vita na mshindi lazima apatikane.. unaijua giza kupatwa na nuru wewe ? unaijua mbingu ipishe moto ushuke 🤣🤣🤣