Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Njema jirani, umeshindajeSalam za usiku wadau
Jirani usiogope..Bageshi😂😂😂
Nikisomaga tu hizo habari hua nashindwa kuimagine mhusika anajifeel aje, unawexa tamami ardhi ipasuke udumbukie chibwii upotelee huko.
Hizi mambo zingine zisikie tu kwa watu jamani usiombe zikutokee
Njema sana jirani Bado Nasubiria jirani!!🙇🙇🙇🙇🙇 Sijatoka hapaSalam za usiku wadau
Salama kabisa jiraniNjema jirani, umeshindaje
Jirani usijali..na zawadi itatumwa. Subira yavuta heri ..Njema sana jirani Bado Nasubiria jirani!!🙇🙇🙇🙇🙇 Sijatoka hapa
Basi Sawa jirani wacha nisubirie nile mbivu jirani!!!Jirani usijali..na zawadi itatumwa. Subira yavuta heri ..
Pole sana jiraniNyieeeee leo kuna baridi aisee
Tumeamka nayo, tumeshinda nayo, na sahivi tunaenda lala nayo..
Leo Mbise kaamua 😩
Baridi mpaka najisikia niko wa motooo
HaijapoaPole sana jirani
Asante jirani..Basi Sawa jirani wacha nisubirie nile mbivu jirani!!!
Kulikoni jiraniHaijapoa
Safii jiraniiii....View attachment 2274602
Nimeficha vidole kwa sababu 🤨
Safiii.....jirani bado mapema.Usiku mwema wapendwa!!!!
Kesho nayo ni siku
Leo Nimechoka sana jirani hapa kichwa kina jam la usingizi hatari!!!Safiii.....jirani bado mapema.
🤣🤣🤣Mtoto rangi ya mtumeeee..mguu softiiii 😘😘😘😘😘 kweli baba pasta aliinyoii😘
🙏🙏Leo Nimechoka sana jirani kichwa kina jam la usingizi hatari!!!
Nikapumzishe fuvu langu kidogo Enjoy your time jirani!!✌️
Aisee...Nitafanyaje best huyu kanipa libwata si bure huwa naapa simtaki tena ila akitaja jina tu Nuzuu yaani hasira kwishaa ngoja niende kwa Mwamposa akaniombee si bure kuna namna🤨😁
He!.. jirani vipi tena.Aisee uchawi upo 🤨
Shangazi 😎😎Leo Nimechoka sana jirani hapa kichwa kina jam la usingizi hatari!!!
Nikapumzishe fuvu langu kidogo Enjoy your time jirani!![emoji3577][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]