Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo mjukuu wangu ni shida. Anapita mpaka na mapene ya sisi wastaafu dah!

Nataka nimpikie supu ya kongoro hapa atulize akili kidogo japo sina uhakika kama anawezana na kongoro maana ni wa kishua

View attachment 2274387
Kongoro ndo kwangu, miguu ya kuku na utumbo, mie wa kienyeji bhanaaa, we babuuu hujui?
 
In Harmojala mood


Kwa pamoja tutazame hapa tulipo,
Panatuonyesha picha ya mbali huko tuendako mpenzi.
Mengi utasikia yakisemwa usiyaweke moyoni,
Kuteleza inatokea mambo ya ndani usiyaweke hadharani.
Kama ndege juu turuke angani wote
Unishike nikushike ili tuwe wote mpenzi
Mvua ikinyesha iwe baraka ya penzi letu, lolote likitokea basi tuanguke na tufe wote.

Wengine amani tuliyonayo kidogo wanaiota hawana,
Tena pengine pesa si tatizo vipigo, kati yao upendo hakuna
Heri yetu sisi
Tushukuru kwa yote(tushukuru kwa yote)
Tushukuru kwa yote kipenzi changu
Tushukuru kwa yote

Asiyenipenda hakupendi hata siku moja,
Siku tunaachana ndo wanachongoja
Asiyenipenda hakupendi hata siku moja
Siku tunaachana ndo wanachongoja
Juzi nilikosea, nikakukuta unalia machozi Nilipokuomba radhi ukaelewa, samahani ikaokoa penzi.

Wengine amani tuliyonayo kidogo wanaiota hawana tena pengine pesa si tatizo vipigo kati yao upendo hakuna
Heri yetu sisi
Tushukuru kwa yote(tushukuru kwa yote)
Tushukuru kwa yote kipenzi changu
Tushukuru kwa yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah.. na sie 25 tunaisaka 26 inakuwaje ..

Depal .. mmetoka ubaguzi wa tall dark handsome hela mmeahamia kwenye age kweli nyie noma
Huyu Depal na mwenzie cocastic wanaishi ktk fantasy,ni watoto wasamehewe Tu

Wakikua hizi ndoto zao za kutaja taja tall n dark guys wit handsome face zitayeyuka nakwambia.Kioindi hiko wanapishana Kwa mwamposa.Hapo hata Sisi tuliodharauliwa kisa hatujai ktk vipimo vyao ndy tutakuwa kimbilio lao
 
Huu ni wimbo mama maleziii?
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Nawaonaga tu pale ibadani .. na sie vijana tunawakazia kishenzi hakuna kuwalegezea waende kwa age mate wao
 
nikimpata mtu naemuelewa na kumkubali, namroga tunachukuana mazima, no kuzubaa yaan.
 
Sasa umepanick nini πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Si inategemea na ntu na ntu, wastaafu wana shida gan? Km urungu wake unafanya kazi na mapene anayo, kwann nivunge? Namsanukia na kupita naye hiviii.
Utakuja kufiwa na vibabu lodge mjukuu wangu upate mikosi. Kuna kamoja kalizima mwezi Mei yaani ilikuwa aibu tupu maana kalikuwa kanaheshimika sana.

Kamebeba mzinga wa supa dupa yutong tena imeolewa kakapiga viagra moja kakaona mtambo haujasimama sawasawa kakaongezea nyingine. Pfuuu kakazima mazima. Yutong ikapaniki hiyooo ndukii na taulo tu kwenda front desk. Aibuu tupu yaani. Nenda navyo polepole mjukuu vinginevyo kwa mizagamuo yako unayosimuliaga humu ni suala la muda tu kuzimikiwa na hivi vibabu
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…