Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,150
- 28,861
Nimekutag hapo juu mkuuMkuu rudia hio ya kusisimua basiii sijaiona jamani!
Nimekutag hapo juu mkuuMkuu rudia hio ya kusisimua basiii sijaiona jamani!
😂😂😂😂 pia kwenye kupika umakini na kumbukumbu vinatakiwa,, me nilishaivisha wali usiokuwa na chumvi…yaan sijawahi kupika pilau likawa zuri, yaan lazima kuna sehemu nitakosea,
Hyo siku nimejikoki kutoa pilau la maana, bhana wee nikakalisha tako chini nitoe food ya kwenda, fanya mambo yote si nkajisahau kuwa chumvi nilitia kwa viungo, nilivoweka maji nkaweka tena chumvi, kilichofuata nyama lost ililiwa kavu na soda.
Yaan sahivi ndo naweza kidg, pilau sijawahi kupatia, sio siwezi tatizo kupatia hapo mtihani.![]()
Mtoto mdogo..
Nichumu basi mpenzi wangu wa zamani, ila wabaya wasione😊😊😊Mtoto mdogo..
GeneticsHiyo ni maswala ya vinasaba..Hukujifunza biology?
Alafu Mimi siyo mweupe ni maji ya kunde




Kwa forehead 😘😘Nichumu basi mpenzi wangu wa zamani, ila wabaya wasione😊😊😊
fanya kunichumu na hapa hapa kimdomoni kidogo uniachie lipstick color 😊😊😊Kwa forehead 😘😘
Wabaya fumbeni macho 😇
Ntajitahidi hadi niwe napatia.pia kwenye kupika umakini na kumbukumbu vinatakiwa,, me nilishaivisha wali usiokuwa na chumvi…
Sahivi ukijaribu unatoboa





Nilichukua maji moto kidogo, nikayatia chumvi niliyohisi pale itatosha. Then nikamaliza mchezoNtajitahidi hadi niwe napatia.
Sasa uliufanyaje? Ungeumwagia maji ya chumvi unakulaa.![]()
Pole nkamu🤣🤣🤣🤣Nilitaka kuvunja mkuu wallah😅
Wabaya wako kwa wapi? 😂😂fanya kunichumu na hapa hapa kimdomoni kidogo uniachie lipstick color 😊😊😊
wabaya ni giza, hawaonekani ila wapo tu.. 😊😊😊 we nichumu mie nipate harufu ya unyunyu wakoWabaya wako kwa wapi? 😂😂
Njaa 😔😔😔Pole nkamu🤣🤣🤣🤣
😂 😂wabaya ni giza, hawaonekani ila wapo tu.. 😊😊😊 we nichumu mie nipate harufu ya unyunyu wako
😘😘 🤗wabaya ni giza, hawaonekani ila wapo tu.. 😊😊😊 we nichumu mie nipate harufu ya unyunyu wako
haya ndio maneno sasa 🤗🤗😘😘 🤗
Hapo fresh eeh 😁
Ukijiselfisha tu napoa nkamu😁Pole nkamu🤣🤣🤣🤣
😍haya ndio maneno sasa 🤗🤗
Hapo sasa safi,Nilichukua maji moto kidogo, nikayatia chumvi niliyohisi pale itatosha. Then nikamaliza mchezo





Ninunue binduki eeeh 😊😊😊