Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
🤣🤣🤣utalii wa daslamNdy unasepa,umeshamaliza utalii wako?
🤣🤣🤣utalii wa daslamNdy unasepa,umeshamaliza utalii wako?
Fanya hivyo chap tupige pesa jamanHuu mguu naweza kuomba mkopo bank yoyote Kwa kuuwekea dhamana
Mnajisahaulisha vilio vyenu eeAhahaha wanaume ndy tunalila lia? Kvp
Nasubir mie.Leo bado shos mpaka badae!!
Si nimeandika pale kiasi utakachoAhsanteee, nyama kias gan?
Kuna siku nilipika wali wa njegere, had mgeni akaanza kunisema, na nsivyopenda kushindwa nkamcharua na yeye, ndo akanifundsha sasa kupika wali wa njegere.
![]()
Yani wewe![]()



sasa si angewahi kupika yeye mwenyewe. Badala atulie yee anaanza kunisema khaah, sitakiiiiInahusiana ndyooo,Eboo
Sasa hii ya kuona picha yangu huko juu,na kukuhamasisha inahusiana nini na hiki tunachojadili?![]()






Sio chenji..sidai kabisa pesa





napelekwa buree yaan? Aaaah usifanye hivyo, hata Robo ya bei chukua.Karibu tena daslam mama..karibu sn Kwangu piautalii wa daslam
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sasa si angewahi kupika yeye mwenyewe. Badala atulie yee anaanza kunisema khaah, sitakiiii
😄😄😄 Unataka kuwaona.. kesho asubuhi njoo Rock city mall umuone Antonnia wangu wa ukweliLeo umetupia sana
Warembo
Sijaona ujue
Ila sijui Kwa nini hili jina lako jipya nashindwa kulizoea mrembococastic shos ya leo sina
Hata udi hatutakinapelekwa buree yaan? Aaaah usifanye hivyo, hata Robo ya bei chukua.
Kwani alikuwa anatumia jina gani?Ila sijui Kwa nini hili jina lako jipya nashindwa kulizoea mrembo
Nyama usije kuzidi, afu pilau likawa na ladha ya nyama tyuu, ndo maanaa nlitaka kujua kiasi, ila ouk ahsante kwa somo.Si nimeandika pale kiasi utakacho
Ila hata wewe unahamasisha sn,tukizaa mtoto atatoka mzungu na handsome sn akiwa wa kiumeInahusiana ndyooo,![]()
Daslam nitakaribia ila kwako hapana Shukrani sanaKaribu tena daslam mama..karibu sn Kwangu pia
siku ukitaka kupika maji ukuje nikupe ingredientsNyama usije kuzidi, afu pilau likawa na ladha ya nyama tyuu, ndo maanaa nlitaka kujua kiasi, ila ouk ahsante kwa somo.
Nitajaribu weekend.



akaanza kunifundisha huku nimempa kichambo, na yeye kuna sehemu akaja kunilipiziaaa. Uwiiiiiiih.