Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Ila zawadi nazichoma nimekaa nazo miezi mingapi ? majivu natupia baharini 🙂🙂🙂🙂🙂Tumetoka mbali sana, huwezi kunifanyia huo ukatili
Ila zawadi nazichoma nimekaa nazo miezi mingapi ? majivu natupia baharini 🙂🙂🙂🙂🙂Tumetoka mbali sana, huwezi kunifanyia huo ukatili
Mdomo umefunga nabakiza macho jirani..,.Sema chochote
Jambo la kumtukuza na kumshukuru MunguHuku mambo ni mukide mukide ✌️✌️mjomba!
We kweli ni queen❤
Shendwaa pepoooo. Nenda kanitumie sasa hiviIla zawadi nazichoma nimekaa nazo miezi mingapi ? majivu natupia baharini 🙂🙂🙂🙂🙂
Utulivuuuuuu
Jirani uko Qatar au Bahareni....
🙂🙂🙂 na basi la kimbinyoko auShendwaa pepoooo. Nenda kanitumie sasa hivi
Ukifika stendi niambie 🤣🤣🤣🙂🙂🙂 na basi la kimbinyoko au
m
Boda boda wako yupo wapi 😄😄😄Ukifika stendi niambie 🤣🤣🤣
Hebu nione vizuri??
Mimi mwenyeweBoda boda wako yupo wapi 😄😄😄
Safii jirani...Muwe na mchana mwema wapendwa!! cocastic
🛵🛵 ipi hapa 🏍️🏍️Mimi mwenyewe
Yes yesWe kweli ni queen![]()

Mpaka waleo sijaona tena selfii yako jirani n!!Safii jirani...
Yeah, ni church hapa nipoo. Lazima kuwe na utulivuu hahahaUtulivuuuuuu
Nafanya mazoezi kwanza jirani.. nikiweka tu niweze kusemeshwa 😂 😂 😂Mpaka waleo sijaona tena selfii yako jirani n!!