Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Monday inspo
Aunt jujuuuuuhMorning [emoji134][emoji134]View attachment 2274036
Wenzio Vocha wanatuma hapa, sasa wee no ya nn?Coca tuma namba yako,,kwan ukinitumia namba yako kuna ubaya gan!nambie nijue meme
Shangazi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Morning [emoji134][emoji134]View attachment 2274036
Kuolewa na kutokuolewa Viko kwenye kinywa changu.nachunga sana cha kuwajibuHuwa unawajibu vipi?
Salama jirani...uko salama?Morning [emoji134][emoji134]View attachment 2274036
Bado hujakwisha[emoji23][emoji134][emoji134][emoji134]nmekwisha
Wee utakuja uanguke siku, vile viatu vya jana nilivaa na ile gauni, mbna miguu ilichoka, afu sasa nilivaa kwa dkk 20 tyuuh.Monday inspoView attachment 2274046
🤣🤣🤣😁🤣🤣🤣🤣phaller sana cocasticLabda chumvi, ila sio sukari. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipenziiiiii, nivumilie akili angu ina jisett enyewe automatically, ko ikiamua kuwa off bas ndo purukushan hivyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]phaller sana cocastic
Ndo maana wanaendelea kukuuliza, unawapa jibu 1 la kwenda, hawaulizi tena.Kuolewa na kutokuolewa Viko kwenye kinywa changu.nachunga sana cha kuwajibu
“sijapata!nikipata nitaolewa”
Labda chumvi, ila sio sukari. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ulivyo na hekaheka nyingi, uwe unavaa tu flats. Ile tarehe 9 kwa kweli pambana tuWee utakuja uanguke siku, vile viatu vya jana nilivaa na ile gauni, mbna miguu ilichoka, afu sasa nilivaa kwa dkk 20 tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kuna watu jamani daah...Kuolewa na kutokuolewa Viko kwenye kinywa changu.nachunga sana cha kuwajibu
“sijapata!nikipata nitaolewa”
Nilitaka kuvunja mkuu wallah😅Monday inspoView attachment 2274046
Hebu huko nawee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sukari tena ile tamu grade no 1
Wee boss ndo nn hivyo sasa?Here I am.........
Here I am..........
How do you do?[emoji12]