Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,881
Hapo nimekusoma 🤣🤣🤣Nyama usije kuzidi, afu pilau likawa na ladha ya nyama tyuu, ndo maanaa nlitaka kujua kiasi, ila ouk ahsante kwa somo.
Nitajaribu weekend.
We mtu mmoja/wawili nyama ni robo tu
Hapo nimekusoma 🤣🤣🤣Nyama usije kuzidi, afu pilau likawa na ladha ya nyama tyuu, ndo maanaa nlitaka kujua kiasi, ila ouk ahsante kwa somo.
Nitajaribu weekend.
Tutazaa mtoto Sope sitakiiiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila hata wewe unahamasisha sn,tukizaa mtoto atatoka mzungu na handsome sn akiwa wa kiume
🤣🤣🤣mchambo wa Asha ngedere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akaanza kunifundisha huku nimempa kichambo, na yeye kuna sehemu akaja kunilipiziaaa. Uwiiiiiiih.
Nipo kila siku. Ukimuheshimu mtu ata kuheshimu .. Acha kejeliKijana leo uko....😁😁😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe pilau masala n teaspoon 2, mie nawekaga had 6, bas pilau linachachia hadi nadhanigi ni fake, kumbe nazidisha, kupika kazi yaan,Hapo nimekusoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We mtu mmoja/wawili nyama ni robo tu
Acha tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mchambo wa Asha ngedere
Njoo nione nyumbnToa mkono bana,nashindwa kukuona vizuri
Hahahaaa...utazoea tu mkuu!!Ila sijui Kwa nini hili jina lako jipya nashindwa kulizoea mrembo
[emoji23][emoji23][emoji23]aunt[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si angewahi kupika yeye mwenyewe. Badala atulie yee anaanza kunisema khaah, sitakiiii
Huko border kipenzi!Safari ya wapi ilikua hii?
Habari za mchana mjomba!✋Nipo kila siku. Ukimuheshimu mtu ata kueshimu .. Acha kejeli
Mkuu rudia hio ya kusisimua basiii sijaiona jamani!Eboo [emoji28][emoji28]
Sasa hii ya kuona picha yangu huko juu,na kukuhamasisha inahusiana nini na hiki tunachojadili? [emoji28]
Nipo shangazi yangu . Mambo yanaendaje hapo shangazi wangu kipenzi 😘😘Habari za mchana mjomba!✋
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we una balaa jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe pilau masala n teaspoon 2, mie nawekaga had 6, bas pilau linachachia hadi nadhanigi ni fake, kumbe nazidisha, kupika kazi yaan,
Tena kwa mult cooker ndo kabisa naunguza, mara nyingi natumia gas.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziiii kuna watu wanazingua ujue?[emoji23][emoji23][emoji23]aunt
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sijawahi kupika pilau likawa zuri, yaan lazima kuna sehemu nitakosea,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we una balaa jamani
Cooker nenda sawia na maji.. hutounguza
Kwa nn hutaki kwangu wakati chumba cha bure kipoDaslam nitakaribia ila kwako hapana Shukrani sana
Hiyo ni maswala ya vinasaba..Hukujifunza biology?Tutazaa mtoto Sope sitakiiiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipe locationNjoo nione nyumbn