cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,289
Unaweka hapa dk 0 unafuta kama ambavyo huwa unafuta selfie zako



. Utazikwa nazo hizo fungu za mtonyoooUnaweka hapa dk 0 unafuta kama ambavyo huwa unafuta selfie zako



. Utazikwa nazo hizo fungu za mtonyoooWaoooooo....
Hii leo live bila chenga
Kumbe mrembo hivyo?
Ahsante coca![]()




utawasimulia na wengine pia.Yaani leo bahati niliyonayo ni ile ya mtendeutawasimulia na wengine pia.
Yaani leo bahati niliyonayo ni ile ya mtende
Hata kulala silali tena



nimechekaa mbavu cna.Leo hii aunt yako niwe wa kusimuliwa kweliutawasimulia na wengine pia.

Eeh ndo ukweli huoWewe![]()
Ile ya jana eti.Leo hii aunt yako niwe wa kusimuliwa kweli![]()
Afadhali umekuja bestEeh ndo ukweli huo
Wee kiumbe ulifichwa wapi? Nimekumic mnooo.Eeh ndo ukweli huo
Ah missed you too rafikiAfadhali umekuja best
You are missed
Selfika basi mida ya wanga hii
Aiseeee usituache hivi hiviAh missed you too rafiki
Nimepita tu mara moja naingia mzigoni 😴😴 .
Uwe na usiku mwema
Nilikumiss pia dear 😍♥️Wee kiumbe ulifichwa wapi? Nimekumic mnooo.
Ah nitasinzia na kuiacha hewaniAiseeee usituache hivi hivi
Utapata dhambi ujue
Ahsante bestAh nitasinzia na kuiacha hewani
Bado nina wenge
Kesho rafiki nitatupia
Wee unaingia mzigoni, now?Nilikumiss pia dear
Nipo aisee .. nilikuwa busy kidogo
Nikawa naingia humu kimya kimya
HatulaliiiiMlale unonoooo
Byeeeh!!!
Tumorooooooh
😄😄 mbona unavujisha siri kwa wakora, waaanze sumbua weweNa kasauti kangu kama Wema Sepenga
Kabla sija play huu wimbo, nilijua ni siku kama hizii ... basi kama mateso sasa ndio nayapata... hiki kipande huwa nakipenda sana