spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,139
- 21,884
Uyo bro ako ndo kama mimi ila watu kama sisi tuna matukio ya kimya kimyaKtk familia yetu ni huyo brooh, yaan ni mkimya, mpole, mtaratibu akiwa anaongea yaan kheee,
Shida ipo kwangu, kwa dogo, na dada angu m1 huyo, kheeeh ni hatareeee, vurugu mwanzo mwenga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umechelewa [emoji28][emoji28]Khe nilipitwa[emoji3059][emoji3059]
Tatzo upole unaniharibia,huyo Depal atanisumbua sn maana watoto wa Arusha mnaweza hata kukunjana mashatiNitakupeleka wacha atume nauli kwanza[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mie, muache tukifika tyuuh air port, mie nachukuliwa na niggah hapo tunayeya zetu.Cuzoo wako cocastic yuko wapi? Anapitwa pigo za kiTupac hizi laivu kutoka California....
On a serious note. Mungu Aendelee kukubariki aisee. Unajiamini sana na inavyoonekana unaishi maisha yako halisi. That's very commendable young bro...
Kuna mtu unafanana name humu ndani, yaan kabisa.Usiogope Mimi ni mstaarabu kila mtu anajua hapa jf ..We uliza mitaa yote[emoji3]
Nauli[emoji849]..Utakubali kuja kuishi huku porini mbande?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan kwamba mie uromantic sina jamani [emoji1787][emoji1787]
Basi nipeleke dar kwa Satoh Hirosh
Wauweeeee shooo akeeee [emoji7][emoji7]
TutaishiNauli[emoji849]..Utakubali kuja kuishi huku porini mbande?
Nafanana nae Kwa lipi coca? Mwonekano au mwandiko?Kuna mtu unafanana name humu ndani, yaan kabisa.
Aririririririririiiiiiiii💃💃💃Tutaishi
Niko hapa Chamazi kwa mapunda sahivi
Sijaona picha yako mie.Nimefanyaje madam [emoji3]
Ambacho ataenjoy kutoka kwangu ni upole na ukarimu,pia maneno mazuri.Ila mfukoni sasa,atatamani nimrudishe kwao maana sina maisha[emoji28]Amekubali kuacha ubabe, aje umefundishe how to be romantic[emoji7]
Safi sn..leo nimekufahamu mkuuChat na selfika
View attachment 2272131
Naombaaaa.Icecream [emoji39][emoji39]
Weka yako tufahamiane mkuuSafi sn..leo nimekufahamu mkuu