Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Hata kama mafuta sheli yamepanda nitanunua nataka kumpika mtoto wa mtu😬😬
Hata kama mafuta sheli yamepanda nitanunua nataka kumpika mtoto wa mtu😬😬
Wow sijui inakuwa(ga) je yani kwenye familia maranyingi utakuta mtoto mmoja au zaidi ambae ni mpoole alafu kuna huyo mmoja sasa 😀😀haambiliki koroofiYeaaah ni broooh angu huyo, sema ni mpoleee mno ktk familia yetu yeye ndo kapoa. Yaan hana mambo mengi.
🤣🤣🤣🤣😂😂Hata kama mafuta sheli yamepanda nitanunua nataka kumpika mtoto wa mtu😬😬
Hii karne bila ujeuri wa hapa na pale hutoboi 😂😂We jeuri eeh 🤣🤣🤣View attachment 2271660
😆😀😀Hata kama mafuta sheli yamepanda nitanunua nataka kumpika mtoto wa mtu😬😬
fire extinguisher zangu zipo au umehamisha 😬😬😬😬Hata kama mafuta sheli yamepanda nitanunua nataka kumpika mtoto wa mtu😬😬
Alicia Keys Hujambo 😎
Yaani na siku zinavyokimbia ni balaaNdio nimekumbuka venye tunakuwaga tunaombeana…
Bado sana aje na next week ni july!! Ka aug na sept wanapitwa shaap.. tunaingia holy month.
Nimehamisha baba kijacho ili zoezi langu liwe jepesiiiii zaidifire extinguisher zangu zipo au umehamisha 😬😬😬😬
Nipo polisi natoa taarifa, 😬😬😬😬😬.Nimehamisha baba kijacho ili zoezi langu liwe jepesiiiii zaidi
😁😁kwa kosa lipi?Nipo polisi natoa taarifa, 😬😬😬😬😬.
Unataka kumbanika mtoto wa mtu 😇😂Nimehamisha baba kijacho ili zoezi langu liwe jepesiiiii zaidi
Marahaba baba pasta hujambo wewe?Alicia Keys Hujambo 😎
Wewe subiri uzi wa Tanzia jf 🤨Unataka kumbanika mtoto wa mtu 😇😂
🤣🤣 hii adhabu mbona kali sana,,sasa mtu atakomaje ili apate kujifunza?Wewe subiri uzi wa Tanzia jf 🤨
Mafuta ya petrol nyumbani ya kazi gani 😬😬😬😬😁😁kwa kosa lipi?
Umestop?😁Since I stop alcoholics 😅View attachment 2271697
Siku ya tukio nitakuelekeza kazi yake vizuri 🤨Mafuta ya petrol nyumbani ya kazi gani 😬😬😬😬