Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkwe wew sio mtu mzuri baada ya kuninyima mpwa wako unanikabidhi kwa sato Hirosh lkn sio mbaya umefnya replacement
Tuliona barua fulani yenye mwandiko wako ikatuvuruga akili mi na mpwa wangu. Mpwa alianza kulia mpaka ikabidi nimdabue kofi ili kumuweka sawa. Na tangia hapo kanywea hata raha hana.

Kwema huko lakini? Bado uko kwa Wasukuma wako au umeshaondoka zako?
 
Back
Top Bottom