Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,150
- 28,864
😂😂😂sasa si mwende huko Chuga?wapo wanao elewe swaga za jino kwa jino, hasa wa pande za chuganian.. nyie wa humu hadhi zenu ni kina Mo 🤣🤣🤣
Wanataka watafuniwe kila kitu, uvivu umewajaaWaache kutusumbua basi kama hawajui kula na kipofu
Aisee...Unamfanyiaje jino kwa jino mtoto wa kike? Ndio maana kumbe mnakaziwa 🤣
😄😄😄😄 acha tupambambane ipo na siku watatokea wasamalia wema kutubariki😂😂😂sasa si mwende huko Chuga?
😂😂😂 wape classy techniques🤣🤣🤣🤣 shida ipo kubwa sana hapa
Hallelujah😄😄😄😄 acha tupambambane ipo na siku watatokea wasamalia wema kutubariki
Nmsingizi wapi wakati wee ndio umesema unafuatwa na jamaa jana kasema yeye tayari yupo mjiniKhaaaaaa
Unamsingizia bwana
Waache waendelee kutuita mashem shem 🤣🤣🤣Wanataka watafuniwe kila kitu, uvivu umewajaa
Desemba hii Mungu Akipenda nagonga 77. Mungu ni mwemaAh huwa anasema yupo 76
So anastahili hii heshima .
Mzee wangu hajafika hapo ndo Kwanza late 60's



🤣🤣🤣🙂🤣🙂🤣🤣😂😅😅Desemba hii Mungu Akipenda nagonga 77. Mungu ni mwema![]()
Kumbe mahari yako ni iPhone?Hallelujah
Wacha wapambane tu na hali zao😂😂😂 wape classy techniques
mkuu jf unafikiri unang'oa kirahisi.. nilikuwa naenda kahumba 🤣🤣🤣Jamaa kachima wese akufuate akupelekea dar ule maraha ya jiji. Aisee...kweli hela mchawi wa mbususu
Hapana docta.Watu wanaoa wakiwa na 90yrs nini 76?Miaka 76 sina ishu dokta...
Hata nikipewa wala siwezani tena....
Nimeshazoea kuitwa babu, mkwe, anko, bro...you name it!![]()
Air max au Air Force one 😂Na picha basiView attachment 2271992
Ah madamu anasema hivyo huwezi mbishiaNa unaamini?![]()
Ya mchongooAir max au Air Force one 😂
Hamna namna😂😂Waache waendelee kutuita mashem shem 🤣🤣🤣