Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana docta.Watu wanaoa wakiwa na 90yrs nini 76?
90 yrs haisimami dokta....

Huwa wanaoa kwa sababu zingine tu....

Labda kutunzwa wasije wakafa peke yao [emoji16]
IMG-20220625-WA0050.jpg
 
Desemba hii Mungu Akipenda nagonga 77. Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
77 🔥🔥 kukamilishwa kwa neema mpya .. Neno linasema mashahidi wawili kuna ila kuna grace hapo new grace maana mwisho unapata tano.. Namba nzuri sana hiyo.. Mungu akafanye jambo jipya sikio likisia liwashwe
 
Back
Top Bottom