Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Mie nilishaizoea, rudisha ile pichaSana.
Siku ya kwanza kuusikia nikajua ni Tecno yangu imeharibika..
Lahaula!Wacha niigonge gonge..nasikia Tena shwaaa!
Akili iliniruka🥺
Mie nilishaizoea, rudisha ile pichaSana.
Siku ya kwanza kuusikia nikajua ni Tecno yangu imeharibika..
Lahaula!Wacha niigonge gonge..nasikia Tena shwaaa!
Akili iliniruka🥺
Mie Dar sijawahi kupapenda, yaan nikimaliza tyuuh, huyo nasepa zangu. Hata sitaki kuishi huku.
Nataka niondoke huu mkoa,unaniharibia meno yangu![]()
Umechelewa kidogo tuMbna sijaona hapa, hebu arudie kwan lol.
Wacha wee shouz..Maisha ya chuo matamu,
Mwenzio naendaga venue za masters, kutazama wakaka.
Jaman wakaka wazuri hao, afu smart mnooo.
Na wengi wao ni wale tall dark gaizzzzz, weraaaaaah.
Hebu rudia bas naweee.Umechelewa kidogo tu
Nilipe kwanza deni ninalokudai.Mie nilishaizoea, rudisha ile picha
Na haya maduara red na green.. red kama mtu yupo offline na green online.. sioni maana ya hii wakati wengine huwa hatutaki status zetu zionekane kama tupo au hatupoInakera,
Maisha yana mengi.Mie Dar sijawahi kupapenda, yaan nikimaliza tyuuh, huyo nasepa zangu. Hata sitaki kuishi huku.
Wacha wee shouz..
Mimi nilikuwa nafurahi sana ikifika weekend..nalala.
Kanisani yale mapambio
Kuvuta maji kisimani sasa, nilikuwa experthadi kuna siku nikaota nimedumbukia kisimani..maji yalikuwa chini sana sometimes,,ili kuchota ni lazima uiname uingize kichwa chote.




kuna mtu alinambia UDOM wanafunzi wanakua na kamba za kuvutia maji, tena wanakua nazo hostel. Kwa upande wangu ni sawa, kwa sababu yaweza kuwa ulimtusi mtu, akakujibu halafu ukarudi kubadili faster, lakini upo sahihi wanaweza kutumia wazo lako lakini pale uki edit, iandike edited😄😄 kwenye maboresho yao, wameacha kitu muhimu. Editing, mtu aki ku quote imetoka hiyo, hata ufute au ubadirishe haibadiriki. Hii kitu huwa inazingua sijui kwanini wameamua hivi
Mtu mwenye kamba anaheshimika sana kuliko hata mtu mwenye kitu kingine😂😂😂🙌kuna mtu alinambia UDOM wanafunzi wanakua na kamba za kuvutia maji, tena wanakua nazo hostel.
Duuuuh. Maji shida woiiiiih.
Ni kweli hapa inabidi tuingie mzigoni tuweke jf GB 😂😂Na haya maduara red na green.. red kama mtu yupo offline na green online.. sioni maana ya hii wakati wengine huwa hatutaki status zetu zionekane kama tupo au hatupo
Maisha yana mengi.
Unaweza Kuta yanakutupa Tandahimba huko ambako wala hukutarajia
Sikuwahi fikiria kuishi Daslam.





mie kokote ni sawa, ila tyuuh huduma za muhimu ziwepoMbeleni huko huenda wakaendelea kuboreshaKwa upande wangu ni sawa, kwa sababu yaweza kuwa ulimtusi mtu, akakujibu halafu ukarudi kubadili faster, lakini upo sahihi wanaweza kutumia wazo lako lakini pale uki edit, iandike edited
Nakulipa sijakataa, lete kwanza hio pichaNilipe kwanza deni ninalokudai.
mie kokote ni sawa, ila tyuuh huduma za muhimu ziwepo
Kuna hii style mtu akiwa ana typeunaona page inaenda up and down, unaionaje?Mbeleni huko huenda wakaendelea kuboresha
Mtu mwenye kamba anaheshimika sana kuliko hata mtu mwenye kitu kingine
Siyo Kwa kusomba maji kisimani kule..
Diaba likifika nusu naanza kupata stress.





huko nisingeweza, heka heka za usumbufu wa maji nehiiii. Siweziiiiih. Ila joto la Dar sio la kulala wawili kitanda ki1, ni matesoooooFukuto la joto la DSM ni hatari![]()







