Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nights
Tumbo bado limemwagika jamani
IMG_20220624_224602_046.jpg
IMG_20220624_223055_812.jpg


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Unatumia Nini kuyafanya yawe meupe zaidi?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kuna dawa hivi mie kuna mtu aliniletea kutoka SA, sema imeisha karibuni tyuuh, bhana wee inaumiza ila, unaipaka kwenye meno inakaa km dakika 15 ndo unaanza kusugua,

Aseeeh mabadiliko nimeyaona, meno yangu ni meupe tangu mda, ila baada ya kutumia hii dawa yamezidi kuwa meupe, ndo nahangaika kutafuta madukan.

Napenda mnoo meno kuwa meupe, nafeel Comfortable.
 
Back
Top Bottom