Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Aperitif ukinywa hata nusu glass, inasaidia sana kuleta hamu na pia inasaidia kwenye digestion
Aperitif ukinywa hata nusu glass, inasaidia sana kuleta hamu na pia inasaidia kwenye digestion
Hii sijawahi sikia, ugali wa mahindi ?Na ugali nasikia unaleta kitambi chap.
Nitakuwa naula halafu naenda Kulala muda huohuo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ni OG? Maana kuna fake dada angu,
NdiyoHii sijawahi sikia, ugali wa mahindi ?
Ndiyo OGNi OG? Maana kuna fake dada angu,
Yaan hapa cna amani kabisaa, naitafuta dawa ambayo ni nzuri na inafaa, huku nikiwa nasubir hii ya kutoka SA. nimemuambia abebe nyingi mnoo.
Tatizo ni pombe😉Aperitif ukinywa hata nusu glass, inasaidia sana kuleta hamu na pia inasaidia kwenye digestion
Bwana we fatty foods, kama nyama za mafuta na cheese, huu ugali sijui ni aina ganiNdiyo
Wali+ugali,mikate.
Na ugali piaBwana we fatty foods, kama nyama za mafuta na cheese, huu ugali sijui ni aina gani
Jaribu kula zile mboga unapendelea zaidi na salads zinasaidia unakula zaidi.Tatizo ni pombe😉
Basis uwage unatumia ya dukani, ila maji ya dar sio mazuri hataNdiyo OG
Maji yenu![]()
Owkay, ni sawa
Chuchu konziiiiNilipokuwa chibonge
UDOMView attachment 2271045
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app






Nitajitahidi🤝Jaribu kula zile mboga unapendelea zaidi na salads zinasaidia unakula zaidi.
Wameweka kwenye seting opt ya ku change tone. ila sijaona sehemu ya ku mute, vinazingua kweli kweli hata simu ukiwa umeweka kwenye mod ya no disturb message zikiingia unasikiaHivi hawakuweka settings?
Hivi we unataka kitambi,are you serious?Nitajitahidi🤝
Niliacha kuswakia ya BombaBasis uwage unatumia ya dukani, ila maji ya dar sio mazuri hata
Tumbo kiasiHivi we unataka kitambi,are you serious?